Download Mfumo wa Uendeshaji (Firmware) Simu za Tecno

Pakua hapa mfumo wa simu yako ya Tecno 2018
mfumo wa uendeshaji wa Tecno mfumo wa uendeshaji wa Tecno

Kama imetokea simu yako ya tecno imeharibika kwa namna yoyote basi unaweza kutumia ukurasa huu kuweza kupata mfumo wa uendeshaji (Firmware) kwaajili ya simu yako. Tutaukuwa unaongeza mifumo ya simu mbalimbali za tecno kwenye list hii.

Kama utakuwa unataka mfumo wa simu yoyote ya Tecno unaweza kuandika kwenye sehemu ya maoni hapo chini nasi tutaongeza mfumo huo kwenye simu yako. Kama unataka kupata mifumo mingine ya Tecno, pamoja na kujua jinsi ya kuflash simu ya Tecno unaweza kusoma makala yetu iliyopita. Kumbuka hakikisha model ya simu yako kabla ya kupakua mfumo wa uendeshaji wa simu yako.

Mifumo ya Uendeshaji wa (Firmware) Simu za Tecno 2018

Advertisement

 • Tecno Phantom A6S (Tecno-A6S-H551C1-M-KESF-160911V10 )
  Download Hapa
 • Tecno A7 Phantom Z (Tecno-A7-G906-A1-KK-EG-20141111)
  Download Hapa
 • Tecno A9 Phantom 6 Plus Nougat Tcard (A9-H971A-N1-170725V72)
  Download Hapa
 • Tecno AX8S Phantom 8S (AX8S-H571B-N-KESF-170922V72)
  Download Hapa
 • Tecno C9 (C9-H535B1-M-160722V28) (Miracle Box Dump)
  Download Hapa
 • Tecno C9 (C9-H535-B1-M-HiOS-20160601) (Miracle Box Dump)
  Download Hapa
 • Tecno C9 3+32GB Plus / Pro (C9-H535-B1-Cl-M-161129V83) [Miracle Box Dump]
  Download Hapa
 • Tecno CX Air (CXAir-H3713A1-N-170330V91) [Miracle Box Dump]
  Download Hapa
 • Tecno F7 Phantom A+ 4.2 MT6589 Variant 1 (F7-AW990A-T09-20130622)
  Download Hapa
 • Tecno F7 Phantom A+ 4.2 MT6589 Variant 2 (F7-AW990A-T14-20130923)
  Download Hapa
 • Tecno G9 Phantom pad II (Tecno G9-T211-PIC-20140924) [Fixes charging issues]
  Download Hapa
 • Tecno H5 New OS variant 2 (Tecno H5-UP09-20140610-MP)
  Download Hapa

Updated 18-03-2019

Updating….

30 comments
 1. Nina simu model ya Phantom6 Plus inazingua kuhamisha fail kupeleka ktk Flash namaanisha OTG haisomeki ukiweka Flash kwenye OTG,Naomba msaada

 2. naitaji kupata code za simu aina za tecno yoyote nikiwa naflash inisumbue au isishndikane maana kunanyengine huwa zinanishinda

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use