Sunday Movie #3 : Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia

Line of Duty (2019) ni movie nyingine nzuri unayoweza kuangalia jumapili hii
Sunday Movie #3 : Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia Sunday Movie #3 : Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia

Karibu tena kwenye Sunday Movie #3, leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ambayo inahusisha teknolojia, ambayo unaweza kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo nakusogezea movie ya Line of Duty (2019) Movie hii inahusu mwandishi wa habari za video (Vlogger) ambaye alijikuta kwenye hali ngumu mara baada ya kufuatilia habari inayo muhusu mtoto wa chef wa polisi.

Kama ulipitwa na Sunday movie ya wiki iliyopita unaweza kusoma hapa kujua ni movie gani ya teknolojia ambayo tulifanikiwa kuangalia.

Advertisement

Download Hapa

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use