Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Sunday Movie #29 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili 4

Sunday Movie #29 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #29, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Movie hii ina mapigano sana hivyo sio nzuri kuangalia na watoto chini ya umri unaotakiwa.

Pakua Hapa 480p (MB 350.7)

Pakua Hapa 720p (MB 750.1)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #28 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Jumapili njema yenye baraka.!

Previous Post
Fahamu Ugumu na Ubora wa iPad Pro (2021) 5

Fahamu Ugumu na Ubora wa iPad Pro (2021)

Next Post
Jinsi ya Kufanya Matangazo (Sponsored) Instagram (2022) 6

Jinsi ya Kufanya Matangazo (Sponsored) Instagram (2022)