Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Simu Gani Bora Upande wa Kamera.? Camon 30 vs Galaxy S24

Unadhani simu gani kati ya hizi inapaswa kushinda pambano hili la kamera ya simu S24 au Camon 30
Simu Gani Bora Upande wa Kamera.? Camon 30 vs Galaxy S24 Simu Gani Bora Upande wa Kamera.? Camon 30 vs Galaxy S24

Katika mada mpya ya hivi karibuni kati ya kamera za simu, kuna mpambano mpya wa kamera ya simu za mkononi kati ya Samsung Galaxy S24 na TECNO Camon 30 zinafafana viwango vya upigaji picha wa simu ya mkononi, wapiga picha wanapewa chaguo la kusisimua kati ya S24 na CAMON 30.

Baada ya kuona picha hizi zilizopigwa na S24 na CAMON 30, ni simu gani imeupiga mwingi zaidi katika matokeo bora ya picha?

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use