Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Hizi Hapa Ndio Sifa Kamili za Simu Mpya ya Google Pixel 2

Hizi hapa ndio sifa za simu mpya ya Google Pixel 2 na Pixel XL 2
Google Pixel 2 Google Pixel 2

Tayari kampuni ya Google imesha zindua simu zake mpya za Google Pixel 2, na simu hizo mwaka huu zimekuja zikiwa bora zaidi kuliko mwaka jana. Basi moja kwa moja bila kupoteza muda twende tukangalie sifa za Google Pixel 2.

Advertisement

Sifa za Google Pixel 2

  • Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.0 Oreo w/ Google UI
  • Ukubwa wa Kioo – inch 5 AMOLED Resolution 1920×1080 pixels
    PPI 441 ppi
  • Kamera ya Nyuma – 12.2MP, f/1.8, 1.4μm pixels, OIS, EIS, PDAF, LDAF yenye uwezo kuchukua video za 4K
  • Kamera ya Mbele – 8MP, f/2.4, 1.4μm pixels, fixed focus
  • Uwezo wa Processor – Qualcomm Snapdragon 835
  • Ukubwa wa Ndani –  GB 64 au 128GB
  • Uwezo wa RAM – GB 4
  • Uwezo wa Battery – 2,700mAh (battery haitoki)
  • Aina ya Sehemu ya USB – Ports USB Type-C
  • Uzito wa Simu – 143 g
  • Ukubwa wa Simu – 145.7 x 69.7 x 7.8 mm
  • Sifa Nyingine – IP67 water and dust resistant, rear-facing fingerprint sensor, dual front-facing speakers, Bluetooth 5.0, Hi-Fi codecs, USB-PD, 18W rapid Charging
  • Rangi – Kinda Blue, Just Black, Clearly White
  • Bei – $650 sawa na shilingi za kitanzania Tsh 1,500,000 bei ni kwa mujibu wa viwango vya fedha vya leo kumbuka bei inaweza kubadilika kwa Tanzania.

Sifa za Google Pixel XL 2

  • Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.0 Oreo w/ Google UI
  • Ukubwa wa Kioo – inch 6 pOLED Resolution 1920×1080 pixels
    PPI 441 ppi
  • Kamera ya Nyuma – 12.2MP, f/1.8, 1.4μm pixels, OIS, EIS, PDAF, LDAF yenye uwezo kuchukua video za 4K
  • Kamera ya Mbele – 8MP, f/2.4, 1.4μm pixels, fixed focus
  • Uwezo wa Processor – Qualcomm Snapdragon 835
  • Ukubwa wa Ndani –  GB 64 au 128GB
  • Uwezo wa RAM – GB 4
  • Uwezo wa Battery – 3520Ah (battery haitoki)
  • Aina ya Sehemu ya USB – Ports USB Type-C
  • Uzito wa Simu – 175 g
  • Ukubwa wa Simu – 157.9 x 76.7 x 7.9 mm
  • Sifa Nyingine – Haingii maji, inanzo sensa, dual front-facing speakers,
  • Uwezo wa Bluetooth – 5.0, Hi-Fi codecs, USB-PD, 18W rapid Charging
  • Rangi – Black & White, Black
  • Bei – $849 sawa na shilingi za kitanzania Tsh 1,9100,000 bei ni kwa mujibu wa viwango vya fedha vya leo kumbuka bei inaweza kubadilika kwa Tanzania.

Na hizo ndio sifa za simu hizo mbili mpya za Google Pixel 2 na Google Pixel XL 2 ambazo zimetoka leo. Kwa mujibu wa Google simu hizo zina utofauti kidogo sana. Utofauti uliopo wa simu hizo mbili ni kioo pamoja na battery.

Kwa habari zaidi za Google endelea kutembelea Tanzania Tech nasi tutakujuza yote mapya, pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka zaidi.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use