Video : Simu 10 za Ajabu Zilizowahi Kutengenezwa Mpaka Sasa

Teknolojia mpya za simu za kushangaza, Tazama sasa hapa
Video : Simu 10 za Ajabu Zilizowahi Kutengenezwa Mpaka Sasa Video : Simu 10 za Ajabu Zilizowahi Kutengenezwa Mpaka Sasa

Simu ni kitu cha muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku, lakini kadri siku zinapo enda ndipo teknolojia inapo badilika na wataalamu kufikiria simu mpya za aina mbalimbali.

Zifuatazo ni simu za ajabu ambazo zimewahi kutengenezwa, lakini baadhi ya simu hizi hazikuwahi kutoka na kuingia sokoni hivyo usishangae kama hujawahi kuzisikia au kuziona.

Advertisement

Kabla ya kumaliza hizo hizi hapa simu nyingine ambazo zitaweza kukushangaza kwa namna moja ama nyingine, Enjoy.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech nasi tutakujuza yote mapya, pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka zaidi.

Chanzo : #Mind Warehouse

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use