Sasa Vodacom Tanzania Yaleta LTE 4G

4g 4g

Hayawi hayawi sasa yamekua kampuni inayotoa huduma za simu ya vodacom hivi karibuni imetoa tangazo la kuleta mtandao wa 4g kwa watumiaji wake, mtandao huo ambao umeanza kushika kasi sana nchini tanzania ulianza kwa kampuni inayotoa huduma za simu ya Tigo na sasa Vodacom.

Hata hivyo kampuni hiyo ya vodacom ya nchini tanzania imesema kuwa network hiyo ya 4G itanza kutumika kwa mji wa dar es salaam kwanza na baadae kuamia katika mikoani mingine, pia ili kuwezeshwa inakubidi kubadilisha line yako au kwenda katika voda shop zilizo karibu nawe.

Ili kujua kama simu yako ina network hiyo ya 4G kwenye mtandao wa vodacom tanzania ingia kwenye tovuti hii [button type=”default” text=”Imei.info” url=”http://www.imei.info/” open_new_tab=”true”] kisha weka namba ya utambulisho wa simu yako yani IMEI kisha utaona alama nyekundu hapo utajua kuwa simu yako inaweza kupokea mtandao wa 4G.

Advertisement

Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea page hii ya  [button type=”default” text=”Vodacom Tanzania 4G” url=”https://www.vodacom.co.tz/4g/” open_new_tab=”true”].

 

5 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use