Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Angalia Hapa Live Mkutano Mkubwa wa Google I/O Keynote

Tamasha la Uzinduzi wa Bidhaa Mpya za Apple Mwezi March 2016
Google Google

Leo ndio ile siku ambapo kampuni maarufu ya google inaonyesha nivitu gani walivyofanya kwa siku zikizopita, mkutano huu wa google ni moja kati ya mikutano mikubwa na yamuhimu sana kwa kampuni ya google na wapenzi wa google pamoja na bidhaa zake.

Advertisement

Tegemea kupata habari nyingi mbalimbali zinazohusu Android N pia na mambo mengine mengi ambayo yanatarajiwa kuonyeshwa live siku ya leo tarehe 18, endelea kuungana nasi ili uangalie live tukio zima na upate kujua google wanakuja na nini kipya mwaka huu.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use