Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Utaweza kutengeneza hata zaidi kulinganana uwezo wako wa kufanya hatua hizi
Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Ni wazi kuwa kama wewe ni msomaji wa Tanzania tech lazima unajua kuhusu njia mbalimbali za kutengeneza pesa mtandaoni, kama tayari unajua njia zote hizo sasa ni wakati wa kuongeza njia nyingine ambayo inaweza kusaidia kutengeneza pesa mtandaoni hadi dollar $10 kila siku.

Kumbuka njia hii kama zilivyo njia nyingine za kutengeneza pesa mtandaoni sio njia rahisi, kwani unahitaji kuwa na uvumilivu na kuhakikisha unafanya kazi hii kila siku. Kifupi ni kuwa, kama unatafuta pesa mtandaoni basi ni lazima ujifuze kuwekeza kwa kutumia muda kwani mambo mengi mtandaoni yana hiaji subira na utulivu wa hali ya juu.

Basi moja kwa moja kwa kuanza tembelea tovuti hapo chini, baada ya hapo hakikisha una jisajili kwa kutumia email au barua pepe yako ambayo ni sahihi.

Advertisement

Tembelea Tovuti Hapa

Kumbuka wakati una jaza au una jiunga na tovuti hii chagua nchi yako ulipo na hakikisha hautumii VPN, kwani kwa kufanya hivyo akaunti yako itasitishwa na hutoweza kutengeneza pesa mtandaoni.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Baada ya kujisajili, moja kwa moja kwa moja ingia kwenye barua pepe yako na utakutana na email ambayo inakutaka kuthibitisha akaunti yako, hii ni muhimu sana hivyo moja kwa moja bofya link iliyopo ndani ya barua pepe kama inavyo onekana hapo chini.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Baada ya hapo moja kwa moja utapelekwa kwenye tovuti hiyo na sasa utakuwa uko tayari kuinga kwenye tovuti hiyo na kuanza kutengeneza pesa mtandaoni. Tumia username na password ulizo tengeneza awali kwenye hatua ya kwanza kabisa.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Baada ya kuingia moja kwa moja utapelekwa kwenye ukurasa ambao unazo kazi mbalimbali, kazi hizi ni rahisi sana ambazo hazitumii muda mrefu kufanya. Kazi hizi zinalingana na mahali ulipo hivyo kama upo Tanzania hakikisha unafanya kazi za Internation pekee au ambazo zimendikwa Tanzania.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Kama unavyoweza kuona hapo juu utaweza kulipa hadi dollar $2 kwa kuangalia video na kusubscribe na kushare video. Pia utaweza kulipo hadi dollar 0.080 kwa kujinga kwenye tovuti pekee, huna haja ya kufanya lolote zaidi ya kujisajili na tovuti hivyo.

Kujua zaidi kuhusu hazi unayotakiwa kufanya ni kufungua aina ya kazi ulio pendezwa nayo, kisha baada ya hapo soma vigezo na mashart unayotakiwa kufuata.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Kulingana na kazi husika utapewa link ambayo unatakiwa kwenye tovuti ili kufanya kazi inayotakiwa, kisha baada ya hapo unatakuwa kuchukua screeshot ukiwa tayari umamaliza kazi uliyopewa na moja kwa moja utatuma screenshot hiyo kwenye kazi yenyewe kama inavyo onekana hapo chini.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Baada ya hapo moja kwa moja utatuma kazi hiyo na utasubiri ndani ya siku mbili hadi saba ili kiwango chako kiweze kuwekwa kwenye akaunti yako kupitia tovuti hiyo. Unaweza kuona balance kwa kuangalia juu upande wa kulia juu. Utaona kiwango ambacho kinasubiri malipo na kiwango kilichopo.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku

Zipo kazi nyingi sana ambazo unaweza kufanya na ambazo zinaweza kusaidia kufikisha hadi kiasi cha $10 kwa siku au zaidi hivyo hakikisha unafanya kazi hizi kila siku kuongeza uwezekano wa kupata pesa nyingi zaidi.

Kumbuka inachukua muda kwa wakaguzi kuweza kukagua kazi ulizofanya ikiwa pamoja na kuweka kiasi hicho cha pesa kwenye akaunti yako kupitia tovuti hii, hivyo fanya kazi nyingi huku ukisibiri balance yako iweze kuwekwa.

Unaweza kufanya kazi nyingi uwezavyo lakini hakikisha unafuata vigezo vyote na masharti uliyopewa kwenye kila kazi.

Natumaini kwakufanya hatua hizi utaweza kutengeneza pesa mtandaoni hadi dollar 2 kila siku. Kwa maujanja zaidi na njia nyingine za kutengeneza pesa mtandaoni hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku.

2 comments
  1. Naitaji nijiunge na hii brog ili niweze kutanua wiggle na kuisambaza zaidi ili watanzania kwa ujumla wote wafaidike nayo pia Mimi mwenyewe naamin utanisaidia na Nina jivunia kutumia hii brog kifupi Ni njema Sana ndo kwa uhakika

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use