Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Pata Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha 4

Pata Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha

Ukweli ni kwamba njia za kupata au kutafuta pesa mtandaoni zipo nyingi sana, lakini ili kuweza kutengeneza pesa kwa kutumia njia hizi inahitaji kufanya kazi kwa muda mrefu na kwa usahihi bila kukosa ndio maana leo nimekuleta njia ambayo ni rahisi zaidi ya kupata pesa mtandaoni.

Cheka Point ni App ya kitanzania ambayo inakupa uwezo wa kutengeneza pesa mtandaoni kwa urahisi bila kutumia muda mwingi, app hii ambayo ni mtandao wa kijamii inakupa uwezo wa kupata point kadhaa kwenye kila video ambayo unaweza kuangalia, mbali na kuangalia pia unaweza kupata point kwa kushare video zilizopo ndani ya app hiyo.

Pata Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha 5

Unaweza kubadilisha point hizo kuwa pesa na kuomba kutoa point hizo moja kwa moja kupitia app hiyo. Vilevile unaweza kupata pesa zaidi kwa kualika watu kwa kutumia Cheka codes zako. Kitu cha muhimu ni kutengeneza akaunti na moja kwa moja utakuwa uko tayari kuanza kutengeneza pesa.

Mbali na hayo app hii pia inakuja na video, picha, pamoja na vichekesho vya aina mbalimbali, kitu kizuri kwenye app hii ni kuwa unaweza kudownload app hii na kuendelea kutumia kama kawaida na utalipata point zako kama kawaida, pale unapo fikisha kiwango cha kutoa point hizo basi utaweza kujipatia pesa bial kufanya kazi ngumu. Unaweza kudownload app hii kupitia link hapo chini.

Pata Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha 6
The app was not found in the store. :-(
Previous Post
SamFirm Programu Bora ya Kutafuta Firmware za Simu za Samsung 7

SamFirm Programu Bora ya Kutafuta Firmware za Simu za Samsung

Next Post
Instagram Kuja na Njia ya Kurudisha Akaunti Zilizo Dukuliwa (Hacked) 8

Instagram Kuja na Njia ya Kurudisha Akaunti Zilizo Dukuliwa (Hacked)