Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kurudisha Majina yaliopotea Kwenye Simu yako

Fuata njia hizi kama unataka kurudisha majina yaliyo potea kwenye simu yako
Cantact Cantact

Je umepoteza simu na unaitaji kurudisha majina yako yaliyopotea au labda umeyafuta kwa bahati mbaya? usijali, zifuatazo ni njia za kurudisha majina yako yaliyopotea kwa kutumia account yako ya Google.

Kwanza kumbuka kwamba nilazima simu yako iwe imesejiliwa na google ili uweze kupata majina yako yalio potea, kama ulisha jisajili na google ni rahisi sana kupata contact zako zilizo potea. Google hutumia technolojia ya “synced” ilikuifadhi majina yako katika server zao, kwahiyo basi kila mara unapoingiza jina jipya katika smartphone yako google ulihifadhi jina ilo kwenye server yao. Kwanjia hii unaweza kupata majina yalio potea, meseji zailizo potea kwa muda usiopungua siku 30.

Advertisement

Ili huweze kupata majina yako unatakiwa ku “Log in” kwenye account yako ya Gmail kwa njia ya Computer kisha katika upande wa kushoto kwenye neno “Gmail” fuatilia menu yote kwa chini utaona neon limeandikwa “Contacts”.

Hapo utaona majina yote uliyo wahi kutumia kwenye Google email pamoja na yale ya kwenye simu yako ulio tumia kwa account hiyo, katika upande huohuo wa kushoto utaona option nyingine nyingi, bonyeza kwenye sehemu iliyo andikwa “More” baada ya hapo menu mpya zitatoke kisha bonyeza “Restore Contacts”.

Utapewa option za niwakati gani unataka kurudisha majina yako, yaani unataka kurudi nyuma lisaa, siku ama wiki (hii utokana na ni lini ulipoteza majina yako) Kisha baada ya kuchagua option hiyo bonyeza “Restore”.

Hapo utakua umerudisha majina yako kwenye simu yako mpya, ingia kwenye Android yako kisha Connect na Internet kisha anagalia contact zako kama zimerudi kwenye simu.

Kwa wale wasio na akaunti za google yani wasio tumia Android Smartphone, kuna application nyingi kwenye google na kwneye mitandao zinazofanya kazi ya kurudisha contact zilizopotea.

Enedlea kupitia blog hii kila siku kujifunza njia hizo na kujua ni application gani bora za kutumia kwa watu wasio na Gmail akaunti.

11 comments
  1. Naitwa evarist,nimefuta majina yote kwenye simu baada ya kuwa nimefomati simu yangu,naomba msaada wa kurudisha hayo majina kwenye simu.Aina ya simu ni techno y-4,majina nilikuwa nasevu kwenye email yangu ambayo ni jbmagesa@yahoo.com

    1. Karibu sana, kurudisha majina inakubidi uwe unatumia email ya gmail na kama unatumia tecno y4 lazima utakuwa na email ya gmail hivyo tumia njia kama hizo hapo juu.

  2. Naitwa Paulina nilifuta namba kwa bahati mbaya nilisave nadhiri sasa nataka kuipata hiyo namba napataje???

  3. Kwajina naitwa abuubakar shaban, niliyafuta majina katika simu yangu sasa baadhi yao yamerudi baada ya kujiunga na imel. Cm yani ni samsung garaxy A2 core. Aboubakarnkondokaya@gmail.com

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use