Muundo Wa Infinix Zero Ultra 3D Curved Washangaza Wengi

Infinix imepiga hatua kubwa sana kwa mapinduzi haya katika Series hii ya Zero
Muundo Wa Infinix Zero Ultra 3D Curved Washangaza Wengi Muundo Wa Infinix Zero Ultra 3D Curved Washangaza Wengi

Infinix Zero Ultra 5G yazinduliwa rasmi katika masoko ya Kimataifa. Katika tangazo la twitter @InfinixMobile, Kampuni hiyo iligusia baadhi ya sifa kuu za simu hii inayosimama kama nembo kwa kampuni hiyo ambazo ni Chaji ya Watt180, Kamera ya 200 Megapixel, onyesho la kioo aina ya AMOLED inch 6.8 3D curved FHD+ na uharaka wa kurudisha kioo katika hali ya upya kwa kiwango cha Hz120 kwa sekunde.

Muundo Wa Infinix Zero Ultra 3D Curved Washangaza Wengi

Infinix imepiga hatua kubwa sana kwa mapinduzi haya katika Series hii ya Zero imeweza kuonyesha umahiri mkubwa sana katika swala la design, Infinix Zero Ultra ikionekana kuwa na umbo lenye kupinda ‘curved’ katika sehemu yake ya mbele na nyuma hii ni kiashirio kikubwa Infinix imejiandaa kupigana vita na Makampuni kongwe kama Samsung.

Advertisement

Muundo Wa Infinix Zero Ultra 3D Curved Washangaza Wengi

Kama inavyosemekana na wajuzi wa TECH, Pamoja na kuja na sifa zenye umahiri mkubwa kama uwezo wa kujaza chaji kwa dakika 12 na uchukuaji wa picha kwa umbali wa anga na ardhi na kupelekea ushirika baina ya Infinix na @royalmuseumsgreenwich design imeteka hisia za mashabiki wakiwa na shahuku la kujua bei, jeitakuwa umiza kichwa kama ilivyo kwa makampuni mengine au infinix itaendeleza utamaduni wake wakuwajali wateja wake?

Kuhusu lini itafika katika soko la simu Tanzania bado kufahamika ila kwa tetesi ndogo ndogo huenda katikati ya Mwezi huu ikatufikia, swala la bei inasemekana itakuwa nafuu si kama vile tunavyoona kwa Samsung na Series ‘S’.

Unakaribishwa piga namba hii 0743558994 tukuhudumie.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use