Kampuni ya Oraimo Waleta “Slide Into Your World”

Inakuja na muundo mpya wa Sliding Case pamoja na APP rasmi (Oraimo Sound)
Kampuni ya Oraimo Waleta "Slide Into Your World" Kampuni ya Oraimo Waleta "Slide Into Your World"

Brand ya oraimo inayodeal na kuuza accessories nchini Tanzania, inatarajia kufanya uzinduzi wa bidhaa yake mpya FREEPOD 4, ambayo ni muendelezo wa earbuds zao za FREEPOD 3 zilizotoka mwishoni mwa mwaka juzi (2021).

Kampuni ya Oraimo Waleta "Slide Into Your World"

Kwa wale watumiaji na wapenzi wa Earbuds, hii bidhaa ni special kwao maana inakuja na muundo mpya wa Sliding Case pamoja na APP rasmi (oraimo sound) utakayotumia kuzi-control buds zako. Pia wameboresha zaidi Betri, Muonekano na Functions zitakazo patikana ndani ya App.

Advertisement

oraimo Sound
Price: Free

FREEPOD 4 imeboreshwa Zaidi kwenye upande wa betri ambapo, utaweza kusikiliza muziki mwororo kwa Zaidi ya siku moja na nusu (masaa 35.5).

Sio hivyo tu pia inakuja na sifa nyengine ya Active Noise Cancellation. Sifa hii itakusaidia kusikiliza mziki au kuongea na simu bila muingiliano wa sauti za nje, FREEPOD 4 inazuia sauti za nje (Hautaweza kusikia sauti za watu, vitu vingine pindi ukiweka ON) kwahiyo itakupa uhuru wa kuenjoy kila utakachoko kuwa unasikiliza.

Bidhaa hii inatarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 3 March, hivyo itakuwa inapatikana katika maduka yote ya Accessories Tanzania nzima kuanzia siku hiyo.

Hivyo basi wapenda bidhaa za oraimo au wapenzi wa kutumia Earbuds mjiandae kupokea bidhaa hii kali kutoka oraimo. Kufahamu Zaidi kuhusu bidhaa za oraimo tembelea tovuti yao, Oraimo.com Au kwenye page zao za mitandao ya ijamii oraimotanzania (@oraimotz).

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use