Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Huawei P20

Mubashara kabisa angalia uzinduzi wa Simu mpya kutoka Huawei
Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Huawei P20 Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Huawei P20

Huawei leo wanatangaza ujio wa simu yake mpya ya Huawei P20, simu hii inatarajiwa kuja na sifa za tofauti pamoja na muundo mpya kabisa. Unaweza kujiunga mubashara kabisa kuangalia uzinduzi wa simu hii moja kwa moja kutoka nchini ufaransa.

Simu hii inasemekana kuja na kamera tatu zenye uwezo ambao haujawahi kutokea kwenye simu kwa sasa, simu hiyo inasemekana kuja na kamera ya Megapixel 40, Megapixel 20 pamoja na Megapixel 2. Hiyo ni simu moja ya Huawei P20 Pro ndio yenye kamera hizo. Endelea kutembelea Tanzania Tech tutakujuza mengine mengi.

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use