Msanii “AY” Apewa Ubalozi wa Simu Mpya ya Infinix Note 7

AY ni kati ya wasanii wakubwa hapa Tanzania wanaotumia Infinix Note 7
Msanii "AY" Apewa Ubalozi wa Simu Mpya ya Infinix Note 7 Msanii "AY" Apewa Ubalozi wa Simu Mpya ya Infinix Note 7

Msanii mkongwe katika industry ya muziki, Ambwene Allen Yessayah maarufu kama “AY” anayetamba na kibao cha Danhela ala shavu la Ubalozi wa simu mpya ya Infinix NOTE 7.

Msanii "AY" Apewa Ubalozi wa Simu Mpya ya Infinix Note 7

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, @infinixmobiletz waliweka viashiria vya ubalozi huo wiki iliyopita na siku ya Jumamosi, Mei 9 walithibitisha ubalozi huo kupitia LIVE Session ya Instagram iliyo onyesha wawakilishi wa Infinix wakifanya mazungumzo na AY kuhusiana na simu ya Infinix NOTE 7.

Advertisement

Msanii "AY" Apewa Ubalozi wa Simu Mpya ya Infinix Note 7

Infinix NOTE 7 imepewa jina la Bigi Makini, na ndio sababu kuu iliyopelekea Infinix kufanya kazi na AY, kwani wengi tunafahamu AY ni msanii mkongwe mwenye mafanikio makubwa mwenye kuheshimika kutokana na mchango wake katika game la muziki Tanzania.

Msanii "AY" Apewa Ubalozi wa Simu Mpya ya Infinix Note 7

Infinix NOTE 7 simu yenye umbo kubwa la inch 6.95 na speed ya ajabu ya G70 processor na kutokana na sifa hizi huenda Infinix NOTE 7 ndiyo simu yenye uwezo mkubwa na yenye kuvutia zaidi kwa mwaka huu wa 2020.

Msanii "AY" Apewa Ubalozi wa Simu Mpya ya Infinix Note 7

Kufahamu mengi zaidi kuhusiana na Infinix NOTE 7 na bidhaa nyengine za Infinix tafadhali tembelea kurasa zao za mitandao ya kijamii @infinixmobiletz.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use