Popular Now
Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews 1

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 2

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 3

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Jinsi ya Kuwa na Mixer ya Muziki Kwenye Simu ya Android 4

Jinsi ya Kuwa na Mixer ya Muziki Kwenye Simu ya Android

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapendelea muziki na kama unataka kuwa na mixer ya muziki kupitia simu yako ya Android basi makala hii ni maalum kwa ajili yako.

Kupitia makala hii ambayo ni sehemu ya kwanza nita onyesha jinsi ya kuwa na Mixer kwenye simu yako ya Android. Kumbuka hii ni sehemu ya kwanza na tutaendelea hadi kufikia hatua ya kuwa na studio ndogo kwenye simu yako na niamini kuwa hii inafanya kazi kwa asilimia 100.

Basi bila kupoteza muda moja kwa moja twende kwenye makala hii, kitu cha muhimu hakikisha unafuatilia hadi mwisho ili kuweza kujua jinsi ya kufanya setup.

Baada ya kufuata maelezo yote hayo hapo juu unaweza kupakua app kupitia link hapo chini na kisha jaribu njia hii moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi ya Android.

Download App Hapa

Kwa kufuata hatua zote hapo juu natumaini utakuwa umeweza kuwa na mixer kwenye simu yako ya mkononi ya Android. Kama una maoni au kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa jinsi ya kutengeneza beat kupitia simu yako ya mkononi ya Android, bofya hapa kujua zaidi.

Previous Post
Vivo V23e Review 5

Vivo V23e Review

Next Post
Jinsi ya Kupata Views na Likes Nyingi Instagram Kupitia Font 6

Jinsi ya Kupata Views na Likes Nyingi Instagram Kupitia Font