Haya Ndio Magari Saba (7) Yenye Kasi na Yakifahari Duniani

Je wajua haya ndio magari yenye kasi kuliko yote duniani na yakifahari
Kasi Kasi

Ni jumapili ya tarehe 9 mwezi wa nne nakukaribisha tena kwenye makala ya Je Wajua, hapa tuna angalia aina mbalimbali za teknolojia ambazo kwa namna moja ama nyingine zinashangaza,  kutuburudisha au pengine kuelimisha yote hayo utayapata kupitia Je Wajua kila jumapili hapa Tanzania Tech.

Kwa leo tunaenda kuangalia magari saba yenye kasi na yakifahari duniani, magari haya yameonekana kuwa na speed au kasi ya hali ya juu sana pamoja na kuuzwa mamilioni ya shilingi, Magari haya yametengenezwa na wataalam mbalimbali kutoka nchi mbalimbali yakiwa na sifa mabalimbali za kushangaza na zenye kufanya magari haya yawe ya kipekee kabisa duniani kote, basi moja kwa moja karibu uangalie magari hayo na kama una swali au maoni unaweza kutuandikia kwenye maoni hapo chini karibu sana!

Advertisement

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa njia ya video.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use