Download Video na Audio Kutoka Mitandao Yote ya Kijamii

Utaweza kudownload video, audio na picha zote za mitandao ya kijamii kwa pamoja
Download Video na Audio Kutoka Mitandao Yote ya Kijamii Download Video na Audio Kutoka Mitandao Yote ya Kijamii

Ni wazi kuwa tumesha ongelea mara nyingi sana jinsi ya kudownload video, mp3 au picha kutoka mitandao mbalimbali ya kama Instagram, Facebook na YouTube.

Lakini kupitia makala hii nitakuonyesha njia rahisi ya kudownload video, picha na mp3 kutoka mitandao yote ya kijamii kwa urahisi kwa wakati mmoja. Huna haja ya kuwa na apps nyingi kwenye simu yako kwaajili ya kudownload video, picha au mp3.

Basi moja kwa moja twende kwenye makala hii, kama kawaida najua leo ni weekend hivyo sito potezea muda wako mwingi. Kwa kuanza hakikisha una pakua app kupitia link hapo chini.

Advertisement

https://www.dailymotion.com/video/x82phxa

Download Hapa

Baada ya kupakua app hiyo moja kwa moja install kwenye simu yako, app hii ni tofauti na app nyingine nyingi ambazo unazifahamu wewe, hivyo moja kwa moja

Download Video na Audio Kutoka Mitandao Yote ya Kijamii

Kama unavyoweza kuona hapo juu utaweza kudownload kwenye mitandao hiyo, na mingine zaidi. huna haja ya kuwa na app nyingine kwenye simu yako.

Download Video na Audio Kutoka Mitandao Yote ya Kijamii

Utaweza kudonload video za youtube, pia utaweza kudownload mp3 kutoka kwenye video kwa urahisi na haraka kama unavyoweza kuona picha hapo juu.

Download Video na Audio Kutoka Mitandao Yote ya Kijamii

Kupitia mitandao kama Instagram na mitandao mingine utaweza kudownload kwa ku-copy video au picha na moja kwa moja utaweza kuona sehemu ya kudownload kwa juu, au unaweza kubofya share kisha chagua app hii na moja kwa moja utaweza kuanza kudownload.

Download Video na Audio Kutoka Mitandao Yote ya Kijamii

Kifupi ni kuwa unaweza kudownload kwa haraka na kwa urahisi kwa kutumia njia hii, kama unataka njia bora na rahisi ya kudownload video, audio na picha kutoka kwenye mitandao ya kijamii basi app hii ni bora sana pengine kuliko app zote unazo zifahamu wewe.

Kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kudownload video fupi za reels moja kwa moja kupitia simu yako ya Android.

3 comments
  1. mbona hiyo app kwenye download inakua haioneshi size yake inapitiliza hadi size hiyo ya mb 15 haifiki mwisho nini tatizo

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use