Jinsi ya Kuangalia Mubashara Euro 2020 Kupitia Simu

Angalia na fuatilia michezo ya Euro 2020 na michezo yote kupitia njia hii
Jinsi ya Kuangalia Mubashara Euro 2020 Kupitia Simu Jinsi ya Kuangalia Mubashara Euro 2020 Kupitia Simu

Kama wewe ni mwana michezo ni wazi kuwa unasubiri tarahe 11 Juni kwa hamu ambapo michezo ya Euro 2020 inategemea kuanza rasmi huku italia wakitegemea kukiputa na Turkey.

Michezo hii itakuwa ikiruka moja kwa moja kwenye visimbusi mbalimbali lakini pia unaweza kufuatilia michuano hii moja kwa moja kupitia smartphone yako ya Android. Kupitia makala hii nitakuonyesha njia rahisi ambayo utaweza kuangali na kufuatilia mubashara michuano hiyo ya Euro 2020, moja kwa moja kwenye simu yako ya Android. Bila kupoteza muda twende kwenye makala hii.

Advertisement

Kwa kuangalia video hapo juu natumaini utakuwa umeweza kupata njia hii bora ya kufuatilia Euro 2020 moja kwa moja kwenye simu yako. Kama wewe tayari umeangalia video hii kwa namna yoyote basi hakikisha unapakua toleo jipya la app hii kupitia link hapo chini.

Download App (Toleo Jipya)

Kwa kufuata hatua hizi niamini kuwa utaweza kufuatilia kila kitu kinacho endelea kwenye michuano ya Euro 2020. Kumbuka kama tayari ulisha pakua toleo lililopita la app hiyo hapo juu hakikisha unapakua toleo hili la sasa ambalo ni update ya toleo hilo. Hakikisha una sasisha app hiyo sasa.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use