Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Earbuds za samsung

Earbuds za Samsung Zenye Uwezo wa Kupima Moyo Wako na Hatua

Kwa wale mnaopenda vifaa vya samsung hii ni yenu hivi karibuni samsung imetoa earbuds au earphone mpya ambazo zinauwezo wa kupima mapigo ya moyo wako pamoja na hatua za miguu unapokua unatembea, earbuds hizo mpya zilizopewa jina la Gear IconX zimezinduliwa na samsung maalumu kwaajili ya wale wanaopenda kujiweka fiti kila siku iwe unatembea au unasikiliza tu muziki earbuds hizi zinauwezo wa kuangalia mapigo ya moyo wako ili kujua kama uko sawa.

Ikiwa ni moja kati ya vifaa ambavyo vimezinduliwa hivi karibuni samsung inasema kuwa earbuds hizi ni sehemu ya toleo lake lililopewa jina la Gear fit 2 ambapo vifaa hivi vitakuwa maalumu kwa ajili ya wana mazoezi au wapenda mozoezi kote dunia hata hivyo Gear IconX imetengenezwa na sensor maalumu ambazo zinauwezo wa kupima moyo wako na pia earbuds hizi zinauwezo wa kupima hatua zako pale unapotembea hii ikiwa ni pamoja na kushirikiana na Gear Fit 2. Kwa wale wasiojua gear fit 2 ni smartwatch ya samsung ambayo kazi yake ni kupokea data mbalimbali kutoka kwenye simu yako ya samsung na pia kutoka kwenye earbuds kama hizi.

Kwa taarifa zaidi unaweza kucheki picha za vifaa hivyo vipya vya Samsung Hapo juu. Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka,pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa.

 

Previous Post
programu za habari bora

Programu 10 Bora za Habari Kwenye Vifaa Android

Next Post
Prophix Mswaki Unaoweza kukuonyesha Ndani ya Mdomo Wako 4

Prophix Mswaki Unaoweza kukuonyesha Ndani ya Mdomo Wako