Edit Video Kisasa kwa Kutumia App Mpya ya TVideo Editor

Weka slow motion kwenye video, rudisha nyuma video na mengine mengi
Edit Video Kisasa kwa Kutumia App Mpya ya TVideo Editor Edit Video Kisasa kwa Kutumia App Mpya ya TVideo Editor

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kuedit video kwenye simu yako na kufanya watu washangae basi unasoma makala sahihi. Kupitia makala hii nitakuonyesha app mpya kutoka Tanzania Tech, app ambayo itakusaidia ku-edit video kisasa zaidi pengine kuliko app nyingi ambazo umewahi kuzitumia.

Kwa kuwa kwa sasa unayo mambo mengi, basi moja kwa moja nisipotezee muda na niende kutambulisha kwako app mpya ya TVideo Editor. App hii inakuja na sehemu nyingi sana ambazo zitakusaidia kuedit video kwa namna mbalimbali huku tukitegemea kuongeza sehemu nyingine mbalimbali.

Advertisement

TVideo Editor ni app mpya ya kisasa ambayo inakusaidia kuweza ku-edit video kisasa kwenye simu yako ya mkononi ya Android.

TVideo Editor
Price: Free

Kupitia App ya TVideo Editor utaweza ku-edit video zako kwa urahisi na kwa haraka na kwa usahihi. App hii ni rahisi kutumia na inakuja na sehemu maelekezo jinsi ya kutumia hivyo usiwe na wasiwasi jinsi ya kutumia.

Ndani ya TVideo Editor utaweza kufanya mambo mbalimbali kama vile

YALIYOMO

✔ Utaweza Kuweka Slow Motion kwenye Video (Slow Motion)
✔ Utaweza Kuunganisha Video Mbili (Video Joiner)
✔ Utaweza Kubadilisha Format ya Video (Video Compress)
✔ Utaweza Kubadilisha Video kwenda kwenye MP3 (Video to MP3)
✔ Utaweza Kuzima Sauti Kwenye Video (Mute Video)
✔ Utaweza Kupeleka Video Haraka (Fast Motion)
✔ Utaweza Kutenganisha Video (Video Cutter)
✔ Utaweza Kubadilisha Picha Kwenda Kwenye Video (Photo to Video)
✔ Utaweza Kubadilisha Video kwenda Kwenye GIF (Video to GIF)
✔ Utaweza Kubadilisha Muelekeo wa Video (Video Rotation)
✔ Utaweza Kubadilisha Mfumo wa Audio (Audio Compress)

Na Mengine mengi sana ambayo unaweza kufanya kwa urahisi.

Download Hapa

Kama umependa app hii basi unaweza kuipa nyota 5, kama unayo maoni au ushauri basi unaweza kuwasiliana nasi kupitia sehemu ya mawasiliano hapo chini.

2 comments
  1. mbona nimejalibu kuipakua lakini Ukienda kwenye kuedit Haihakubali Hatakipengele kimoja sasa nawauliza inakuaje kukipambia kitu mkiwa mnajua si chakweli

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use