Zifahamu Apps za Kudownload Movie Mpya (Hazipo Play Store)

Kupitia app hizi utaweza kudownload movie mpya kwa urahisi kwenye Android
Zifahamu Apps za Kudownload Movie Mpya (Hazipo Play Store) Zifahamu Apps za Kudownload Movie Mpya (Hazipo Play Store)

Kama wewe ni mpenzi wa movie mpya basi bila shaka utafurahia makala hii kwani kupitia makala hii nitaenda kuonyesha apps nzuri za kudownload movie mpya kwa urahisi kupitia kwenye simu yako ya Android.

Ni miaka miwili sasa toka tulipo andika makala ya apps nzuri za kudownload filamu, na kutokana na kuwa kesho tarehe 31 July ni siku ya Eid Al Adha basi pengine ni wakati mzuri wa kukaa nyumbani kwako huku ukifurahia kuangalia movie nzuri moja kwa moja kwenye simu yako.

Basi baada ya kusema hayo, moja kwa moja twende kwenye makala hii. Kumbuka unaweza kudownload apps hizi kupitia link husika chini ya maelezo ya kila app.

Advertisement

Cinema HD

Zifahamu Apps za Kudownload Movie Mpya (Hazipo Play Store)

Cinema HD ni app nzuri sana ya kudownload movie mpya, app hii inakuja na mfumo rahisi kutumia na unaweza kudownload movie mpya pamoja na series mpya. App hii haipatikana Play Store lakini ni moja kati ya app nzuri sana ya kudownload movie moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi.

Download Cinema HD Hapa

Nova TV

Zifahamu Apps za Kudownload Movie Mpya (Hazipo Play Store)

Nova TV ni app nyingine nzuri ya kuangalia movie kwenye simu yako kwa haraka, app hii inakupa uwezo wa kudownload movie mpya kwa haraka na urahisi. Uzuri wa app hii inakipengele cha Netflix na kama tunavyojua Nexflix inaongoza kwa kutoa movie nzuri kwa sasa.

Download Nova TV Hapa

Viva TV

Zifahamu Apps za Kudownload Movie Mpya (Hazipo Play Store)

Viva TV ni application nyingine kwenye list hii, app hii imetegenezwa na mbunifu aliye tengeneza app ya TeaTV app ambayo pia ni maarufu kwa kudownload movie kwneye simu. App hii nayo inaweza kuruhusu kudownload movie mpya kwa urahisi na haraka.

Download VivaTV Hapa

BeeTV

Zifahamu Apps za Kudownload Movie Mpya (Hazipo Play Store)

BeeTV ni app nyingine ya movie ambayo ni kongwe kuliko app nyingine kwenye list hii, app hii imekuwa mtandao kwa muda mrefu sasa na ni moja kati ya app nzuri sana kwa wapenzi wa movie. Kama zilivyo apps nyingine kwenye list hii pia hapa utaweza kudownload movie mpya kwa haraka na kwa urahisi sana.

Download BeeTV Hapa

Nahizo ndio app nzuri ambazo unaweza kuzitumia kudownload movie mpya kwa haraka na urahisi. Kumbuka apps zote hizi hazipatikani kwenye soko la Play Store hivyo unaweza kudownload app hizi kupitia link maalum chini ya app huzika.

Kama unataka kujua app nyingine nzuri, basi unaweza kusoma hapa kujua apps nzuri ambazo zinaweza kusaidia sana afya yako ya akili. Kwa makala zaidi za apps nzuri endelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use