Angalia Hapa Tamasha la Apple “Time Flies” Kwa DK 12

Apple haija zindua simu mpya za iPhone 12 na badala yake imezinuda iPad na iWatch
Angalia Hapa Tamasha la Apple "Time Flies" Kwa DK 12 Angalia Hapa Tamasha la Apple "Time Flies" Kwa DK 12

Kampuni ya Apple leo imetengaza kufanya tamasha lake ambapo bidhaa mbalimbali za Apple zinatarajiwa kuzinduliwa, kwa mujibu wa ripoti mbalimbali inasemekana kuwa Apple haito zindua simu mpya za iPhone 12 na badala yake kampuni hiyo itazindua bidhaa nyingine kama iPad, iWatch na bidhaa nyingine ambazo ni kama huduma.

Update : 16-09-2020

Baada ya kampuni ya Apple kufanya tamasha lake hapo jana tarehe 15 septemba kampuni hiyo haiku zindua simu mpya za iPhone na badala yake kampuni hiyo ilitangaza kuzindua iPad Air mpya pamoja na Apple Watch Series 6 na Watch SE. Unaweza kuangalia uzinduzi mzima jinsi ulivyo kuwa ndani ya dakika 12 kupitia hapo chini.

Advertisement

Kwa habari zaidi kuhusu sifa pamoja na bei ya iPad Air (2020) pamoja na Watch Series 6 na Watch SE hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech tutakujuza yote unayotakiwa kujua kuhusu bidhaa hizi mpya za Apple ikiwa pamoja na bei yake kwa hapa Tanzania.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use