Sunday Movie #5 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Hii hapa Movie nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili ya leo
Sunday Movie #5 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili Sunday Movie #5 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye sunday movie, wakati jumapili ikielekea ukingoni nimeona nikuletee movie nzuri ya kumalizia jumapili yako. Kama kawaida movie nyingi zinazotajwa kwenye kipengele hichi kuwa ni movie zinazohusiana na teknolojia hivyo tegemea kuona teknolojia kwenye movie hii ya leo.

Sunday Movie ya leo inaitwa No Escape, movie hii inahusiana na mtengenezaji wa mauthui ya mtandaoni kwa njia ya video alijikuta kwenye wakati mgumu wakati akitafuta video bora kwaajili ya wafuasi wake.. Kujua zaidi hakikisha unaangalia movie hii.

Advertisement

Kumbuka Movie hii ina sehemu za kutisha ambazo kwa namna moja ama nyingine hazifai kuangalia watoto chini ya umri wa miaka 18.

Pakua No Escape Hapa

Kama unataka kujua movie nyingine zilizopita kwenye sunday movie, unaweza kusoma hapa au unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kuangalia movie za Netflix bure bila kulipia na bila kuwa na akaunti.

2 comments
  1. Naombeni msaada mimi ni follower wenu mzuri sana ila tatizo nikitaka kudownload kitu kupitia app yenu inakataa nabonyeza inakata na kurudi mwanzo bila kufanya chochote mfano nilitaka kupakua sunday movie ya wiki hii lakini nimeshindwa..

    1. Habari, Abel pole kwa usumbufu tatizo hili tunalishulikia kwani ni watu wengi wanaotumia simu za Infinix na Tecno ndio wenye tatizo hili.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use