Akaunti Zenye Followers Wengi Instagram Tanzania (2022)

Zifahamu hizi hapa akaunti 10 za Instagram za Watanzania zenye followers wengi zaidi.
Akaunti Zenye Followers Wengi Instagram Tanzania (2022) Akaunti Zenye Followers Wengi Instagram Tanzania (2022)

Mitandao ya kijamii imekuwa na nguvu kubwa sana siku hizi, kwani ni wazi kuwa wapo watu wengi sana wamefanikiwa kimaisha au hata kibiashara kupitia mitandao ya kijamii.

Kuliona hili leo nimekuletea list ya Watanzania 10 ambao wana ongoza kwa kuwa na followers wenge kwenye mtandao wa Instagram. Kumbuka list hii inaweza kubalikia hivyo ni vyema kuendelea kutembelea ukurasa huu kila mara kwani tutakuwa tunaongeza data hizi kila mwezi.

diamondi platnumz on BET (2021)

Advertisement

Inawezekana kuwa hii ndio list ya Watanzania wanaolipwa pesa nyingi kupost Tangazo kwenye akaunti zao za mtandao wa Instagram hadi sasa mwezi June 2022.

Kumbuka list hii inaweza kubadilika muda wowote hivyo hakikisha unatembelea ukurasa huu mara kwa mara kujua zaidi.

Akaunti Zenye Followers Wengi Instagram Tanzania – (June 2022)

USERNAME INSTAGRAMFOLLOWERS
@diamondplatnumz14.8M Followers
@millardayo11.5M Followers
@wemasepetu9.7M Followers
@hamisamobetto9.6M Followers
@officialshilole9.2M Followers
@harmonize_tz8.4M Followers
@jokatemwegelo8.4M Followers
@vanessamdee8.2M Followers
@officialalikiba8.1M Followers

Kwa upande wa Harmonize pamoja na Jokate hadi sasa namba zinafanana kidogo lakini kwa upande wa Harmonize hadi leo tarehe 23/06/2022 ana jumla ya followers milioni 8,475,701 wakati Jokate Mwegelo ana jumla ya followers 8,471,659.

Na hizo ndio akaunti za watanzania zenye followers wengi zaidi kupitia mtandao wa Instagram, Kama unataka kujua zaidi endelea kutembelea Tanzania tech wakati tukikuandalia list ya watu wenye followers wengi kupitia TikTok kwa hapa Tanzania.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use