Apple Yathibitisha iPhone 15 Kuzinduliwa 12 Septemba

Baada ya tetesi nyingi, siku yenyewe yafahamika wazi.
Apple Yathibitisha iPhone 15 Kuzinduliwa 12 Septemba Apple Yathibitisha iPhone 15 Kuzinduliwa 12 Septemba

Baada ya kuwepo na teetsi nyingi kuelekea kuzinduliwa kwa simu mpya za Apple, hatimaye Apple wametoa tarehe husika ambapo tukio hilo la uzinduzi litafanyika. Tukio hilo litakuwa tarehe 12 September, takribani wiki mbili kutoka sasa.

Apple Yathibitisha iPhone 15 Kuzinduliwa 12 Septemba

Apple tayari wameza kutuma mialiko kwa watu maalumu kushiriki katika tukio hilo, ambapo Apple wanatarajiwa kutangaza Simu za iPhone 15, pamoja na bidhaa nyingine. Baadhi ambazo zinatajwa katika tetesi ni Airpods mpya pamoja na Saa janja, toleo la 9, (Apple Watch Series 9 na toleo jipya la Apple Watch Ultra

Advertisement

Apple Yathibitisha iPhone 15 Kuzinduliwa 12 Septemba

Tutarajie nini kutoka katika matoleo haya,? Tayari, tuna makala kuhusu mabadiliko yanayotarajiwa katika simu za iPhone 15, ambayo unaweza kuisoma katika ukurasa wetu hapa.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use