in

Hizi Hapa Movie Nzuri za Kuangaia Pasaka Hii (2022)

Hizi hapa movie ambazo unaeweza kuangalia pasaka hii ya jumatatu

Hizi Hapa Movie Nzuri za Kuangaia Pasaka Hii (2022)

Habari na karibu kwenye kipengele cha Movie, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya jumatatu hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya pasaka na najua kuwa leo upo nyumbani hivyo unaweza kufurahia kuangalia movie hizi siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Pakua Movie #1 480p (MB 451.1)

Pakua Movie #1 720p (MB 900.5)

Pakua Movie #2 480p (MB 641.5)

Pakua Movie #2 720p (GB 1.33)

Pakua Movie #3 480p (MB 351.4)

Pakua Movie #3 720p (MB 750.9)

Pakua Movie #4 480p (MB 451.36)

Pakua Movie #4 720p (MB 950.91)

Pakua Movie #5 480p (MB 550.3)

Pakua Movie #5 720p (GB 1.19)

Na hizo ndio movie nzuri ambazo nimekuandalia jumatatu ya leo ya pasaka, kama unapenda movie zaidi unaweza kuangalia kipengelea cha movie nzuri na utaweza kupata movie za zamani kidogo lakini ambazo zinafaa kuangalia kwa sasa. Kwa maujanja ya teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech. Happy Easter Monday!.

Mfumo wa iOS 17 Kupatikana Rasmi September 18 (2023)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.