Kama wewe unapenda simu za Tecno au simu za Infinix basi ni wakati wako kujua ni simu gani bora kuwa nayo kati ya Simu mpya ya Infinix Note 10 au simu mpya ya Tecno Camon 17. Bofya link hapo juu kujua tofauti ya sifa pamoja na bei ya simu hizi kwa hapa nchini Tanzania.
in Simu
Simu Bora Kati ya Infinix Note 10 na Tecno Camon 17
Je ni simu gani ununue kati ya Infinix Note 10 na Tecno Camon 17

Boss mbona hapo kwenye utofauti kati infinix note 10 na tecno camon 17 napata maelezo ya note 10 peke yake?
Slide picha kushoto na kulia kuona tofauti.