in

Google Yatangaza Hizi Hapa Apps Bora Kwa Mwaka 2020

Hizi ndio apps ambazo zimechaguliwa na kuwa apps bora kwa mwaka huu 2020

Google Yatangaza Hizi Hapa Apps Bora Kwa Mwaka 2020

Kila mwisho wa mwaka, Google hutoa nafasi kwa wabunifu kupata tuzo ya kujulikana kuwa app bora kwenye soko la Play Store. Mwaka huu google ilitangaza list ya app ambazo zimeingia kwenye mchujo na kupigiwa kura na kuwa apps bora kwa mwaka 2020 kwenye soko la play.

List hii ni ndefu lakini kupitia makala hii nitakuwekea apps zote ambazo zimeweza kushikilia nafasi ya kwanza kwenye vipengele mbalimbali ambavyo vilichaguliwa na Google. Basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye list hii.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kumbuka list hii ina apps nyingi ambazo zinatumika zaidi nchi za nje hivyo list hii haija husisha apps zinazotumiwa zaidi hapa barani Africa.

Best App of 2020

Best Personal Growth Apps

Best Hidden Gem Apps

Best Everyday Essential Apps

Best Apps for Good

Best Apps for Fun

Best Game of 2020

Best Indie Games

Best Casual Games

Best Innovative Games

Best Competitive Games

Je nini maoni yako umeonaje apps hizi, je zinastahili kuwa apps bora kwa mwaka 2020.? Toa maoni yako kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

March : Jaribu Apps Nzuri Kwenye Simu Yako ya Android

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.