in

Video 10 za Muziki Zilizopendwa Zaidi YouTube Mwaka (2019)

Video hizi zimekuwa bora kutokana na kupata idadi kubwa ya likes

Video 10 za Muziki Zilizopendwa Zaidi YouTube Mwaka (2019)

YouTube imetangaza list ya wanamuziki na video zao za muziki zilizofanya vizuri zaidi kwenye mtandao wa YouTube mwaka 2019, List hii inatokana na idadi ya likes kwenye video na sio idadi ya Views. Kwa mwaka huu 2019 Video ya muziki inayo ongoza kwa kuwa na Likes nyingi kuliko zote kwenye mtandao wa YouTube, ni video ya Shawn Mendes akiwa na Camilla Cabello nyimbo inaitwa Señorita.

Install Android App
Price: Free
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 1. Shawn Mendes, Camilla Cabello Señorita – Likes Milioni 13
 2. BTS, Boy With Luv feat. Halsey – Likes Milioni 13
 3. Blackpink, ‘Kill This Love – Likes Milioni 11
 4. Billie Eilish, bad guy – Likes Milioni 10
 5. Lil Nas X, Old Town Road ft. Billy Ray Cyrus – Likes Milioni 9.9
 6. Ariana Grande, 7 rings – Likes Milioni 9.2
 7. Lil Dicky,  Earth – Likes Milioni 8.3
 8. Daddy Yankee & Snow, Con Calma – Likes Milioni 7.8
 9. J-Hope, Chicken Noodle Soup (feat. Becky G) – Likes Milioni 6.0
 10. T-Series, Vaaste – Likes Milioni 5.7

Kama unataka kujua list nyingine ya Video bora kupitia mtandao wa YouTube basi hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania Tech.

Mfumo wa iOS 17 Kupatikana Rasmi September 18 (2023)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.