Movie Nzuri za Kuangalia na Familia Christmas Hii

Furahia sikukuu ya christmas kwa kuangalia movie hizi na familia yako
Movie Nzuri za Kuangalia na Familia Christmas Hii Movie Nzuri za Kuangalia na Familia Christmas Hii

Kwanza ningependa nikutakie heri ya Christmas na mwaka mpya 2020, ni wakati mwingine ambao ukweli tunakila haja ya kusema shurani kwa kuendelea kuwa nasi hadi siku ya leo, hatuna kitu chochote cha kuwalipa bali ni kuahidi kuendelea kuwaletea makala mbalimbali za teknolojia zenye kufundisha, kuelimisha na kuhabarisha.

Kwa siku ya leo ningependa nisiandike maneno mengi kwani najua kwa muda huu upo na familia na ungependa kupata Movie nzuri za kuangalia pamoja na familia yako. Pia ningependa niombe samahani kidogo kwani Movie zilizopo kwenye list hii sio movie za teknolojia kama tulivyo zoea bali hizi ni kwaajili ya familia.

The Addams Family (2019)

Advertisement

Movie ya Animation ya kuchekesha kwaajili ya familia, movie ni nzuri hasa kama familia yako inapenda movie za animation.

Download Hapa

Togo (2019)

Movie inayohusu mbwa mwitu ambaye anaitwa Togo, Movie hii ni nzuri sana kwa familia na ina sisimua kwa watu wote wanaopenda wanyama kama mbwa.

Download Hapa

Abominable (2019)

Kwa mara nyingine kama wewe unapenda movie za animation basi movie hii ni nzuri sana kwa familia yako.

Download Hapa

Zombieland: Double Tap (2019)

Movie hii ni nzuri kwa familia lakini inakuja na mambo yake ambayo yanaweza yasiwe mazuri kwa watoto wadogo chini ya umri wa miaka 13 hivyo angalia kama inaweza kufaa familia yako.

Download Hapa

Chhichhore (2019)

Kama unayo familia yenye watoto wakubwa kidogo na ungependa wangalie movie inayofundisha hasa maisha ya chuo na shule za bodin basi movie ni nzuri sana, inachekesha na kuelimisha pia.

Download Hapa

Noelle (2019)

Kama unataka Movie ya Chrstmas kwaajili ya chrstmas basi movie hii ni nzuri sana kwa familia yako hasa kama unao watoto wadogo kabisa.

Download Hapa

Arctic Dogs (2019)

Movie nyingine ya Animation kwajili ya watoto wako chrstmas hii, movie hii anaweza kuangalia mtoto wa umri wowote, au unaweza kuangalia wewe na familia yako.

Download Hapa

Dora and the Lost City of Gold (2019)

Movie ni nzuri sana kama unapenda movie za kusisimua na kuchekesha, unaweza kuangalia movie hii na familia yako siku hii ya leo.

Download Hapa

The Angry Birds Movie 2 (2019)

Kama wewe ni mpenzi wa animation basi na uhakika utafurahia sikukuu hii na movie hii ya kuchekesha sana.

Download Hapa

The Lion King (2019)

Movie hii ni nzuri sana kwa kila rika na inafaa sana kuangalia na familia siku ya leo, kama bado hujaona movie hii basi ni wakati wako sasa wa kuangalia.

Download Hapa

Na hizo ndio Movie nzuri ambazo nimekuandalia siku ya leo ya Christmas, kama unajua movie nyingine nzuri unaweza kushirikiana nasi kupitia sehemu ya maoni hapo chini. Kama unataka movie nyingine za teknolojia za kuangalia kiupindi hichi cha sikukuu basi unaweza kuzipata hapa. Mpaka siku nyingine nakutakia Christmas njema.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use