Kutana na Kijana wa Kitanzania Aliyebuni Gari la Kielektroniki

Inawezekana hili ndio gari la kwanza la kielektroniki Tanzania
Kutana na Kijana wa Kitanzania Aliyebuni Gari la Kielektroniki Kutana na Kijana wa Kitanzania Aliyebuni Gari la Kielektroniki

Ni wazi kuwa teknolojia inaendelea kukuwa sana hata hapa kwetu Tanzania, kudhirisha hayo kama una kumbuka hivi karibuni tumeona aina mpya ya teknolojia ya kuzuia wizi wa magari ambayo imebuniwa na vijana wa kitanzania, pia tumeona vijana wakitanzania wakibuni mifumo mingine mbalimbali ya kielektroniki.

Lakini kama hayo yote hayatoshi sasa kutana na kijana wa kitanzania aliyebuni gari la kwanza la kielektroniki hapa nchini Tanzania. Gari hili halina mfumo wa engine ya mafuta bali linatumia mfumo wa kielektroniki wa kuchaji.

Advertisement

Baada ya kuona ubunifu huu wa kitanzania nini maoni yako kuhusu gari hilo pamoja na teknolojia iliyotumika.? tuambie kwenye sehemu ya maoni hapo chini.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use