in

Video : Angalia Hapa Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy S10

Ugumu au ubora wa simu za Galaxy S10 na Galaxy S10 Plus

Video : Angalia Hapa Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy S10

Kama wewe ni mpenzi wa simu mpya za Galaxy S10 na S10 Plus basi ni vyema umekutana na makala hii kwani itaweza kukusaidia kuweza kufanya uwamuzi sahihi hasa linapokuja swala la kutaka kununua simu hizi ambazo ukweli zinatumia teknolojia ya kisasa.

Kupitia channel ya Jerryrigeverything ambayo binafsi naipenda sana, utaweza kuona ni ubora gani ambao upo kwenye simu hizi za Galaxy S10 na S10 Plus ikiwa pamoja na ubora kwenye kioo pamoja na ubora kwenye maeneo mengine mbalimbali. Nakusihi kuangalia video hii hadi mwisho kwani na uhakika itakusaidia sana hasa kwenye lile swala la fingerprint iliyopo kwenye kioo.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kama umefanikiwa kuangalia Video hii hadi mwisho, basi najua unaweza kujua matatizo ya Galaxy S10 yapo wapi na kama ni swala ambalo unaweza kuvumilia basi ni wakati wako wa kununua simu hii mpya ya Galaxy S10 au Galaxy S10 Plus.

Amani Joseph

Video : Angalia Hapa Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy S10

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Apple Yathibitisha iPhone 15 Kuzinduliwa 12 Septemba

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.