Kampuni ya Huawei hivi leo inazindua simu yake mpya ya Huawei Mate 20 na Huawei Mate 20 Pro, Angalia hapa mubashara uzinduzi wa simu hiyo moja kwa moja kutoka nchini London. Kama unataka kujua zaidi kuhusu simu hizi unaweza kusoma hapa.
in Simu
Mubashara Uzinduzi wa Huawei Mate 20 na Mate 20 Pro
Angalia mubashara uzinduzi wa Huawei Mate 20 na Mate 20 Pro
