Karibu kwenye makala mpya ambazo tutakuwa tukiangazia habari mbalimbali kutoka VOA, Habari hizi ni mkusanyiko wa matukio muhimu yanayo husiana na teknolojia kutoka pembe mbalimbali hapa Afrika na duniani kwa ujumla. Karibu sana..
in Mtandao
Habari VOA : Daraja Refu Zaidi Duniani Limezinduliwa Rasmi
Daraja refu zaidi kuliko yote duniani limezinduliwa rasmi wiki hii
