Angalia Hapa Uzinduzi wa Simu Mpya ya iPhone 7

Jinsi ya kuangalia uzinduzi wa simu mpya ya iphone 7
Simu mpya ya Iphone 7 kuzinduliwa Simu mpya ya Iphone 7 kuzinduliwa

Kama wengi tunavyojua simu mpya za iPhone 7 pamoja na iPhone 7 plus zimepanga kuzinduliwa live leo tarehe 7 September 2016 huko San Francisco’s Bill Graham Civic Auditorium. Hata hivyo ili kuangalia tamasha hilo live moja kwa moja kwenye kifaa chako fuata hatua hizi.

Kama unataka kuangalia tamasha la uzinduzi wa simu mpya hiyo ya iPhone 7 pamoja na iPhone 7 plus ni lazima kufuata hatua hizi, kama unatumia simu au kompyuta ya Apple (Mac book au iPhone) yoyote unaweza kwenda kwenye browser ya kifaa chako kisha bofya hapa Live Watch, au kama wewe unatumia simu au kompyuta zinazotumia mfumo wa uendeshaji wa Windows unaweza kutumia programu ya Internet explorer kisha bofya hiyo link hapo juu.

Advertisement

Hapa tanzania tech tunajitahidi kuwaletea matangazo hayo ambayo yatakua live hapo baadae kuanzia mida ya 8:00pm usiku. ili kuangalia uzinduzi huu live endelea kutembelea blog ya tanzania tech hapo baadae au unaweza kupata habari zote za teknolojia moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kwa kupakua App ya Tanzania tech  moja kwa moja kwenye simu yako ya Android, pia unaweza kujiunga nasi kwa barua pepe pamoja na mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, Twitter, Instagram pamoja na Yotube kwa kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya video.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use