Sunday Movie #8 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili 1

Sunday Movie #8 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Karibu kwenye Sunday Movie 8, kama kawaida ni jumapili nyingine tena na leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo sidhani kama kuna haja ya kuongelea sana movie bali unaweza kuangalia Trailer hapo chini.

Kumbuka movie hii sio nzuri kwa watoto kutokana na kuwa na sehemu zenye kuonyesha mapigano ambayo sio mazuri kwa watoto. Ni vizuri kuwa makini na movie hii na kuhakikisha una umri wa miaka 18 kabla ya kuangalia movie hii.

Pakua Hapa 6 Underground

Kama umepitwa na Sunday Movie 7, unaweza kusoma hapa. Pia kama unataka kujua jinsi ya kupakua movie kwa urahisi unaweza kusoma hapa.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Infinix Yazindua Simu Mpya za Infinix Note 8 na Note 8i 2
Infinix Yazindua Simu Mpya za Infinix Note 8 na Note 8i
Next Post
Video: Unboxing, Muonekano, Simu Mpya za iPhone 12 3

Video: Unboxing, Muonekano, Simu Mpya za iPhone 12