Video : Simu 10 za Ajabu Zilizowahi Kutengenezwa Mpaka Sasa 1

Video : Simu 10 za Ajabu Zilizowahi Kutengenezwa Mpaka Sasa

Simu ni kitu cha muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku, lakini kadri siku zinapo enda ndipo teknolojia inapo badilika na wataalamu kufikiria simu mpya za aina mbalimbali.

Zifuatazo ni simu za ajabu ambazo zimewahi kutengenezwa, lakini baadhi ya simu hizi hazikuwahi kutoka na kuingia sokoni hivyo usishangae kama hujawahi kuzisikia au kuziona.

https://www.youtube.com/watch?v=SUUTiQHno8g

Kabla ya kumaliza hizo hizi hapa simu nyingine ambazo zitaweza kukushangaza kwa namna moja ama nyingine, Enjoy.

https://www.youtube.com/watch?v=obLiXbMPWrs

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech nasi tutakujuza yote mapya, pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka zaidi.

Chanzo : #Mind Warehouse

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Google Pixel 2
Hizi Hapa Ndio Sifa Kamili za Simu Mpya ya Google Pixel 2
Next Post
Blackberry Motion

BlackBerry Kuja na Simu Mpya Nyingine ya BlackBerry Motion