1. Home
  2. Products

Jinsi ya Kuwasiliana na YouTube (Chat na Mtoa Huduma) Comments

Back to post
Jinsi ya Kuwasiliana na YouTube (Chat na Mtoa Huduma)

Ni wazi kuwa hapa Tanzania watu wengi sana wanamiliki channel za YouTube, kadri watu wanavyozidi kuwa na channel ni wazi kuwa ni watu wengi…

  1. Daudi Rubibi
    Daudi Rubibi

    Sina uwezo wa kuweka Custome thumbnail kwenye video zangu,
    nimejaribu kufatilia lakini naona nakutana na njia za kununua namba za marekani ili nikitumia namba hiyo ndipo napewa access ya kuweka custom thumnail. naomba msaada wa kutatua jambo hili

  2. Daudi Rubibi
    Daudi Rubibi

    Hbari.
    nikitaka kuweka custom thumnail, inadai ni verify namba ya simu. ila kila niwekapo namba hiyo inashindikana

Leave a Comment