Tausi Portal Comments
Back to post
Tausi Portal is a Tanzania President’s Office-RALG (PO-RALG) digital platform for accessing municipal services
-
Nipo nahitaji kusajili leseni ya biashara, tayari nimefungua account kwenye mfumo ila nikifika sehemu ya kusajili leseni ya biashara hainiruhusu kuendea. Inaniambia sina TIN namba ili hali kwenye dashboard inaonekana nimeshaiweka
-
Nimetumiawa meseji kwamba leseni yagu iko tayali niede tausi sasa hapa sielewi nifanyeje
-
Abdurahaman mtemi ikaku
-
-
Leo nimetumiwa sms kwamba nijunge kwenye tausi nipate leseni yqngu ila sijui kujiunge kwenye App ya tausi
-
Leseni
-
Ombi la leseni
-
ombi la lessen
-
lessen
-
Leseni
Leave a Comment
Sign in with Google to post a comment


