Namna ya Kutengeneza Blog 1

Namna ya Kutengeneza Blog

Kuna naman nyingi za kupata pesa kwa njia ya mtandao ila njia ya kuweka matangazo kwenye wensite au blog ndio njia bora kabisa, ila je unatengenezaje blog? Kuna njia rahisi sana za kutengeneza blog kupita kwenye website mbalimbali.

Video hiyo hapo juu inaonyesha namna ya kutengeneza blog kupitia website ya blogger ambayo ndio inayotengeneza address za blogspot.com, fuatilia njia hizo rahisi kabisa kama utakua na maswali usisite kuuliza hapo chini.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Sasa Unaweza Kutuma Document Kwa Kutumia Whats App 2
Sasa Unaweza Kutuma Document Kwa Kutumia Whats App
Next Post
Kampuni za Simu Tanzania Kulipa Faini kwa Kushindwa Kutoa Huduma Bora 3

Kampuni za Simu Tanzania Kulipa Faini kwa Kushindwa Kutoa Huduma Bora