Whatsapp emoji search

Sehemu Mpya ya Kutafuta Emoji Yaongezwa App ya WhatsApp

WhatsApp bado inaendela kuongezewa sehemu mpya zaidi na zaidi, siku chache zilizopita programu hiyo ya majaribio iliongezewa uwezo wa kutuma na kupokea mafile ya aina zote na sasa programu hiyo imeongezewa sehemu nyingine yenye ambapo utakuwa na uwezo wa kutafuta emoji kwa kutumia sehemu mpya.

Sehemu hiyo kwa sasa inapatikana kwenye programu ya Whatsapp Beta na inategemewa kuja hivi karibuni kwenye programu yako ya kawaida kwenye simu yako ya mifumo yote ya Android na iOS, hivyo kama umeona kuna update za programu hiyo ni vyema uka update ili kupatasehemu hiyo mpya.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya video.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
iphone 8
Video: Hii Hapa Ndio Simu Mpya ya iPhone 8 Inayotoka September
Next Post
triangle

Google Yakusaidia Kutunza Kiasi cha Data Kwenye Simu ya Android