Je Infinix NOTE 12 au Samsung Galaxy A14.? 1

Je Infinix NOTE 12 au Samsung Galaxy A14.?

Tulishawahi kuleta makala kuhusu Infinix NOTE 12 na Samsung a14 na maswali yakawa mengi sana hasa kwenye swala la bei kama ambavyo specs zinavyosema Infinix NOTE 12 G88 ni kubwa kwa features zaidi ya Samsung A14.

Kwanza ifahamike bei sio tafsiri ya kitu kuwa bora au kukosa ubora hivyo basi tuondoe zana ya kuwa kilicho na bei ya juu ndio bora zaidi ya kilichobei ya chini.

Infinix NOTE 12 ni bora zaidi ya Samsung A14 lakini NOTE 12 inapatikana kwa bei nafuu kulinganisha na A14 kwa uelewa wangu naweza sema sababu Infinix inawaangalia zaidi vijana katika kukuza soko lao na ndio maana sikuzote wamekuwa na matoleo yenye features za kisasa lakini bei wanalegeza ilihali Samsung kijana si mteja wake mkubwa.

Je Infinix NOTE 12 au Samsung Galaxy A14.? 2

Narudia kusema zote ni simu bora ila juu yakow ewe kufanya maamuzi kulingana na kile unachokitafuta kwenye simu kama ni brand au ni sifa za simu yenyewe. weka maoni yako

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Jiandae na Ujio wa Simu Mpya za Infinix NOTE 30 Tanzania 3
Jiandae na Ujio wa Simu Mpya za Infinix NOTE 30 Tanzania
Next Post
Simu Mpya ya Infinix NOTE 30 Pro Yenye Sifa za Pekee 4

Simu Mpya ya Infinix NOTE 30 Pro Yenye Sifa za Pekee