Video : Muonekano wa Simu Mpya ya Infinix S4 (Infinix Hot S4) 1

Video : Muonekano wa Simu Mpya ya Infinix S4 (Infinix Hot S4)

Kama wewe ni mpenzi wa simu kutoka kampuni ya Infinix basi leo nimekuletea muonekano wa kwanza wa simu mpya ya Infinix S4 au Hot S4, simu ambayo inatarajia kuzinduliwa rasmi hapo siku ya kesho tarehe 14 hapa jijini dar es salaam.

Kupitia hapa utaweza kuona nini kilichopo ndani ya box la simu hiyo, pia utaweza kuona sifa za simu hiyo pamoja na muonekano wake halisi. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie simu hii.

https://www.youtube.com/watch?v=LXX2gWmcVT4

Kumbuka kama unataka kujua bei ya simu hii unaweza kusoma hapa, kwa habari zaidi za teknolojia na makala mbalimbali hakikisha unatembelea tovuti ya tanzania tech pia usisahau ku-subscribe kwenye channel yetu hapa ili kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
WhatsApp Kuacha Kufanyakazi Kwenye Windows Phone Zote 2
WhatsApp Kuacha Kufanyakazi Kwenye Windows Phone Zote
Next Post
Jinsi ya Kutumia Programu za Adobe Bure Bila Kulipia (Windows) 3

Jinsi ya Kutumia Programu za Adobe Bure Bila Kulipia (Windows)