Group Video chat Facebook

Programu ya Facebook Messenger Yaja na Group Video Chat

Mtandao maarufu wa kijamii wa facebook hivi karibuni umekuja na sehemu mpya kwenye programu yake ya Facebook Messenger, sehemu hiyo ya Group Video Chat inakupa uwezo wa kuchat na marafiki zako kwenye programu hiyo mpaka watu 50.

https://www.youtube.com/watch?v=Z4iV_qrbSC4

Sehemu hii itaanza kupatikana kupita programu zake za Android, iOS na pia kwenye programu yake maalum ya kwenye kompyuta. Facebook imekuwa ikiongeza sehemu mbalimbali kwenye programu yake baada ya hivi karibuni kuleta game kwenye programu hiyo.

Kwa habari zaidi za teknolojia unaweza kujiunga nasi kupitia page zetu za Facebook, Instagram, Twitter pamoja na Youtube, pia kama unataka kupata habari za teknolojia kwa haraka pindi zitakapo toka unaweza kudownload App ya Tanzania tech kupitia Play store.

Previous Post
Simu ipi bora iOS na Android Mwaka 2017
Simu Gani ya Kuanza Nayo Mwaka 2019 Kati ya Android na iOS
Next Post
Baada ya Kununua Simu

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Baada ya Kununua Simu Mpya