Angalia Hapa Mubashara Mark Zuckerberg Akiojiwa na Congress 1

Angalia Hapa Mubashara Mark Zuckerberg Akiojiwa na Congress

Mark Zuckerberg amekuwa akijiandaa kwa jaribio lake kubwa huku Mkurugenzi mkuu huyo wa Facebook akikabiliwa na maswali kutoka kwa mabaraza yote mawili ya congress. Sasa Angalia hapa wakati Mark Zuckerberg akiojiwa Mubashara kabisa kuhusu Cambridge Analytica ilivyochukua data za watumiaji zaidi ya milioni 50.

Kutoka na Urefu wa tukio hilo Baada ya kuonyeshwa Mubashara, unaweza kuangalia HAPA masaa matano (5 hours) wakati Mark Zuckerberg akihojiwa na baraza hilo la seneti au Congress. Kwa sasa unaweza kuangalia ufupisho wa tukio hilo ndani ya dakika kumi (10 minutes) hapo chini.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Facebook CEO Mark Zuckerberg Meets With Members Of Congress On Capitol Hill
Mark Zuckerberg Kutoa Ushahidi kwa Mabaraza ya Congress Leo
Next Post
Mpesa

Safaricom Kuruhusu Kutuma Pesa Kati ya MPesa na Paypal