Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE 11 Pro Hapa Tanzania 4

Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE 11 Pro Hapa Tanzania

Kampuni ya simu ya Infinix ilizindua rasmi Infinix NOTE 11 na Infinix NOTE 11 Pro mwanzoni mwa mwezi October huko Ugaibuni.

Infinix NOTE 11 Pro ni simu ya kwanza kwa kampuni ya simu Infinix kuja na Gaming processor ya MediaTek Helio G96 na Ram ya GB8 na GB3 ya memory ya ziada.

Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE 11 Pro Hapa Tanzania 5

Kulingana na uchambuzi uliofanywa na blog kuwa ya tech duniani ‘Gadgets’ ni dhahiri Infinix NOTE 11 pro ni simu ambayo inaweza kufanya kile ambacho computer ingefanya kwa speed ile ile.

Kupitia mifano mbalimbali ya simu za awali za Infinix inasemekana Infinix NOTE 11 Pro si kwamba tu ni simu ya kwanza kuja kuwa na speed kubwa zaidi wa ufanyaji kazi za kiofisi na kucheza games za ujazo mkubwa kwa muda mrefu pasipo simu kupata moto lakini pia itakuwa simu ya kwanza ya series ya NOTE kuwa na kioo chenye refresh rate ya haraka zaidi na kumfanya mtumiaji afurahie wakati wa kuperuzi application mbalimbali.

Jiandae na Simu Mpya ya Infinix NOTE 11 Pro Hapa Tanzania 6

Ukichungulia page ya instagram ya @infinixmobiletz unaona ni namna gani simu hii imeweza kuzua taharuki idadi kubwa ikitamani kujua bei ya simu hiyo fununua zinadai kuwa Infinix NOTE 11 pro itapatikana kwa bei rafiki kabisa ya sh. 600,000 za Kitanzania lakini kwa mteja wa pre-order atapewa punguzo la sh.50,000

Kaa tayari kupokea mzigo huu nchini Tanzania mwishoni mwa mwezi October.

Previous Post
Jinsi ya Kutengeneza Android App (Bure) Ndani ya DK 5 7

Jinsi ya Kutengeneza Android App (Bure) Ndani ya DK 5

Next Post
Kampuni ya Facebook Yabadilisha Jina na Sasa Kuitwa "Meta" 8

Kampuni ya Facebook Yabadilisha Jina na Sasa Kuitwa “Meta”

Infinix Note 11 Pro 9

Infinix Note 11 Pro