Jinsi ya Kutumia Vipengele vya Galaxy AI 1

Jinsi ya Kutumia Vipengele vya Galaxy AI

Je, umewahi kujiuliza Galaxy S26 inaweza kufanya nini zaidi?

Galaxy AI imeundwa kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi zaidi, kuanzia kuboresha picha zako kwa kutumia kipengele cha Photo Assist, kutengeneza stickers kutokana na picha au michoro yako kupitia Creative Studio, hadi kupata mapendekezo muhimu unapohitaji, kwa kutumia Now Nudge.

Fikiri na Chagua unachotaka kufanya, acha Galaxy AI ikusaidie kukifanya kwa urahisi zaidi.

Vipengele vinne. Galaxy moja. Uwezo mkubwa wa kufanya mengi zaidi.

Galaxy S26 Series, simu kali yenye AI inayokurahisishia maisha yako ya kila siku.

Tembelea Samsung mtandaoni au dukani na ujionee zaidi.

#GalaxyS26 #GalaxyAI #SamsungTanzania #AICompanion

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
TECNO Yashinda Tuzo Mbili za Ubunifu IFA 2026 2
TECNO Yashinda Tuzo Mbili za Ubunifu IFA 2026