Angalia Uzinduzi wa iPhone 15 Ndani ya Dakika 17 1

Angalia Uzinduzi wa iPhone 15 Ndani ya Dakika 17

Kama wewe ni mtumiaji au mpenzi wa simu mpya za iPhone basi unaweza kutazama uzinduzi wa simu mpya za iPhone 15 ikiwa pamoja na bidhaa nyingine kutoka kampuni ya Apple ndani ya Dakika 17.

Tayari kampuni ya Apple imesha zindua simu mpya za Apple na sasa unaweza kujua yote ya muhimu kuhusu simu hizi kupitia hapa.

Kama unataka habari zaidi utazipata mara baada ya uzinduzi huu tutakuletea yote ya muhimu kuhusu simu hizo ikiwa na bidhaa nyingine mpya za Apple zitakazo zinduliwa. Kwa sasa unaweza kusoma hapa kujua yote tunayotajaria kuyaona kwenye uzinduzi huo.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Fuel Price in Tanzania (Bei ya Mafuta Tanzania) 2023 2
Fuel Price in Tanzania (Bei ya Mafuta Tanzania) 2023
Next Post
Simu Mpya za iPhone 15 Pro na 15 Pro Max (Mabadiko Muhimu) 3

Simu Mpya za iPhone 15 Pro na 15 Pro Max (Mabadiko Muhimu)