Hizi Hapa Movie Nzuri za Kuangalia Jumapili #1 1

Hizi Hapa Movie Nzuri za Kuangalia Jumapili #1

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Kumbuka baadhi ya Movie hizi ina mapigano na sehemu za kutisha hivyo sio nzuri kuangalia na watoto chini ya umri unaotakiwa.

Download Hapa 480p (550 MB)

Download Hapa 720p (1.19 GB)

Download Hapa 480p (600 MB)

Download Hapa 720p (1.28 GB)

Na hizo ndio movie nzuri za kuangalia siku ya leo tulizo kuandalia, kama unataka movie zaidi hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania tech kila jumapili kwani tutaendelea kukuletea movie nzuri za kuangalia pamoja na uchambuzi wa movie nzuri kupitia channel ya Tanzania tech.

 

Previous Post
Jinsi ya Kuondoa (Uninstall) Apps Zaidi ya Moja kwa Wakati Mmoja 2
Jinsi ya Kuondoa (Uninstall) Apps Zaidi ya Moja kwa Wakati Mmoja
Next Post
Tovuti za Kutengeneza Android App Bila Kuwa na Ujuzi 3

Tovuti za Kutengeneza Android App Bila Kuwa na Ujuzi